Soudy Brown, Maua Sama wasota rumande siku tano kwa kusigina noti, Benki yatoa karipio kali, Chadema hawaaminiki, Dampo ladaiwa kufichwa silaha, Watumia jina la Majaliwa kutapeli, Mwarobaini hamahama vyama yatangazwa, Mtoto aliyezungumza na JPM, mama yake alizungumza na Nyerere, Shilingi ya Tanzania kutumika Zambia…Tazama hapa habari zote zilizopewa uzito katika kurasa za mbele za magazeti ya leo Septemba 20, 2018.

Wolper aingilia kati sakata la Maua sama na Soudy brown kuwekwa rumande
Mayweather kupigana Tokyo kabla ya kunyukana na Pacquiao