Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe  Magufuli leo amefanya mazungumzo na mgeni wake Mfalme Mohamed VI wa Morocco leo Oktoba 24, 2016.

Baada ya mazungumzo hayo Mfalme Mohamed VI akiwa Ikulu Dar es salaam pamoja na  ujumbe wake wamesaini makubaliano takribani 22 ya ushirikiano katika sekta ya kilimo, gesi, mafuta, reli ya Liganga na Mchuchuma na Sekta ya utalii.

Mwambusi Kuliongoza Benchi La Ufundi Yanga
Video: Mfalme wa Morocco kujenga uwanja wa mpira Dodoma utakaogharimu dola milioni 100.