Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amemaliza ziara yake ya kikazi ya siku 6 Mkoani Arusha leo Septemba 25, 2017.

Rais Magufuli wakati akiwa njiani kuelekea uwanja wa kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) amesimamishwa na wananchi wa Sangsi nje kidogo na jiji la Arusha na kuwahakikishia kuwa Serikali itaendelea kutatua kero za wananchi na kuwahudumia bila kuwabagua kwa misingi ya itikadi za kisiasa, kidini na ukabila.

 

INAUMA SANA: Binti mwenye ugonjwa wa ajabu asimulia mazito, apaza sauti kuokoa maisha yake (+Video)

Magazeti ya Tanzania leo Septemba 26, 2017
Rais Magufuli awasili jijini Dar es salaam