Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa ameliagiza Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) liwafuate wananchi walioko katika vijiji vinavyotarajiwa kuunganishiwa umeme kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) na kuwahudumia.

Majaliwa amesema hayo kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa michezo Tunduru, ambapo aliwasisitiza watumishi wa TANESCO kutokaa maofisini na badala yake wakawahudumie wananchi katika vijiji vyao.

TFF yatoa angalizo usajili dirisha dogo
Yondani, Tshishimbi, Tambwe kuwavaa maafande wa Prisons