Mkuu wa Wilaya ya Mbeya, Comrade Beno Malisa amewataka Vijana Kuibua changamoto zilizopo Katika Jamii na kuyasema mazuri yanayofanywa na Serikali ya awamu ya sita.

Malisa ameyasema hayo kwenye Ufunguzi Baraza La Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi – CCM, Mbeya Mjini.

Amesema, pamoja na kuwataka vijana kuibua changamoto za Jamii pia anawakumbusha Vijana kujiendeleza Kielimu na Kujitafutia kipato.

Vita Ukraine: Afrika yawakutanisha Putin, Zelesnky
Habari Kuu kwenye magazeti ya leo Juni 9, 2023