Wema Abraham Sepetu ameeleza kiundani kuhusu ugomvi maarufu kwenye mitandao kati yake na mrembo wa Uganda, Zarina ‘Zari’ Hassan.

Muigizaji huyo ambaye hivi sasa ni mjamzito anaetarajia kupata mtoto na mshindi wa Big Brother Africa, Idris Sultan alisema kuwa Zari ndiye anayeanzisha ugomvi kwenye mitandao.

“I think the girl anakuwa kama vile ana kitu na mimi. I have been quite for a very long time. It’s like kama vile anataka kitu, unajua… kunichokonoa,” anasema Wema.

Wema ameelezea pia kuhusu uhusiano uliopo hivi sasa kati yake na Diamond  na namna alivyoamua kumchukulia Zari ambaye ni mpenzi wa Diamond. Kadhalika, ameeleza sababu za kumjibu mrembo huyo kutoka Uganda kupitia mitandao ya kijamii.

Msikilize hapa akiongea na kipindi cha Ala Za Roho cha Clouds Fm:

Majangili watungua helikopta ya Doria Kusini mwa Mbuga za Serengeti
Video ya ngono yaoneshwa mazishini wakati ibada ikiendelea kupitia Runinga