Tazama moja kwa moja kutoka Ikulu muda huu, leo Mei, 29, 2017 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha rasmi Simon Sirro kuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), kufuatia uteuzi wake uliofanyika jana Mei 28, 2017.

Kabla ya uteuzi huo, Sirro alikuwa Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es salaam. Bofya hapa kutazama

Korea Kaskazini Yaichafua Japan kwa Kombora, Yazidi Kuivuruga Marekani
Japan yainyooshea kidole Korea Kaskazini