Mshambuliaji wa klabu ya soka ya Juventus’ Alvaro Morata amemmwagia sifa nyota wa klabu ya Bayern Munich Robert Lewandowski kuwa ni mchezaji mzuri zaid duniani.

Lewandoski ambaye ni raia wa nchini Poland ameifunga klabu yake mabao 21 katika michezo 20 ya ligi ya Bundesliga nchini Ujerumani na alikuwa anahusishwa kutimkia katika klabu za  Real Madrid Paris Saint-Germain.

Morata na Lewandowski watakutana wiki ijayo katika mchezo wa ligi ya mabingwa barani ulaya huku klabu ya  Juventus ikiwa mwenyeji wa mchezo huo katika uwanja wake wa nyumbani katika hauta ya makundi.

Morata: Lewandowski is world's best striker - his six-pack is incredibleRobert Lewandowski

Morata amezidi kumwagia sifa Lewandowski kuwa ni mchezaji bora zaid  duniani lakini amesema watajitahidi kufanya maajabu zaidi waka timu hizo mbili zitakapokutana wiki ijayo.

John Terry Kubaki Magharibi Mwa London
Wenger Kumvisha Kitambaa Petr Cech