Karibu usome habari zilizopewa nafasi kwenye kurasa za mbele na kurasa za nyuma za magazeti ya Tanzania, leo Januari 18, 2022

Usikose pia kuangalia magazeti yakisomwa kupitia YouTube ya Dar24 Media muda mfupi ujao.

Mwanamke wa miaka 51 ajifungua baada ya miaka 20 ya kuitwa Tasa
Mjane wa Hayati Maalim Seif aweka wazi mahusiano ya aliyekuwa mumewe na Viongozi wa Serikali