Karibu usome kurasa za mbele na kurasa za nyuma zilizochapishwa kwenye magazeti ya Tanzania, leo Julai 25, 2020.

Habari kubwa iliyotawala kwenye magazeti mengi ni maisha ya Rais Mstaafu wa Serikali ya Awamu ya Tatu, Benjamin William Mkapa, aliyefariki dunia jana, Julai 24, 2020. Watanzania tutamkumbuka kwa mengi.

Jeshi la Israel lashambulia Syria, ladai linalipa kisasi
The Bavarians wamtambulisha rasmi Sané

Comments

comments