Karibu usome habari zilizopewa nafasi kwenye kurasa za mbele na kurasa za nyuma za magazeti ya Tanzania, leo Oktoba 7, 2021

Usikose pia kuangalia magazeti yakisomwa kupitia YouTube ya Dar24 Media muda mfupi ujao.

Tanzania yasaini mkataba na Benki ya Kiarabu ujenzi wa Barabara Zanzibar
Biteko awataka wafanyabiashara wa madini kusajili mikataba