Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli, leo June 28, 2020, amefanya uzinduzi wa mradi mkubwa wa maji, Kibamba – Kisarawe.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli akifungua maji kwenye eneo la mradi wa Kibamba -Kisarawe mkoani Pwani mara baada ya kuzindua mradi huo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo na viongozi mbalimbali mara baada ya kuzindua mradi mkubwa wa Maji wa Kibamba-Kisarawe mkoani Pwani.

JPM aipongeza DAWASA kujenga miradi kwa fedha za ndani
Kiongozi wa upinzani aapishwa kuwa Rais mpya Malawi

Comments

comments