Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) Jijini Dar es Salaam wakati akitokea New York nchini Marekani leo tarehe 25 Septemba, 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Makamu wa Rais Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam wakati akitokea New York nchini Marekani leo tarehe 25 Septemba, 2021. Kushoto ni Waziri Mkuu Kassim Majaliwa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwapungia mkono wananchi wa Mkoa wa Dar es Salaam waliofika uwanja wa Ndege kumpokea wakati akitokea nchini Marekani.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na viongozi mbalimbali mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam wakati akitokea New York nchini Marekani leo tarehe 25 Septemba, 2021.
Wananchi wa Mkoa wa Dar es Salaam wakishangilia mara baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam wakati akitokea New York nchini Marekani leo tarehe 25 Septemba, 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasalimia Wananchi wa Mkoa wa Dar es Salaam waliofika kumpokea katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam leo tarehe 25 Septemba, 2021. PICHA NA IKULU
Fursa mpya kwa wakulima wa Ndizi
Tanzania, Kenya kuunda mfumo wa kushirikiana kiutalii