Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Mwinyi, amekula kiapo Ikulu Chamwino Jijini Dodoma kuwa Mjumbe wa Baraza la Mawaziri

Dkt. Mwinyi, amekulakiapo hicho kabla ya kuanza kwa kikao cha kwanza cha Baraza la Mawaziri tangu serikali ya awamu ya tano iingie madarakani katika kipindi chake cha pili

Ikiwa ni siku saba baada ya mawaziri na manaibu waziri kuapishwa kutumikia nafasi hizo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amewasifu kwamba wameanza kazi kazi vizuri.

Simiyu: Tarura yadai halmashauri Sh mil 130

Ameyasema hayo leo Desemba 16, 2020 wakati akifungua kikao hicho cha kwanza cha Baraza la Mawaziri Jijini Dodoma.

Kikao hicho kimeudhuriwa na Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Kassimu Mjaliwa, Dkt. Hussein Mwinyi na Mawaziri 23 pamoja na manaibu wao.

Pochettino ajadiliwa Borussia Dortmund
Hitimana Thiery kocha mpya Mtibwa Sugar