China imesema kuwa hatua ya Uingereza kuondoka kwa muungano wa ulaya italeta msukosuko wa siku nyingi katika uchumi wa dunia.

Waziri wa fedha nchini China Lou Jiwei, amesema kuwa ni vigumu kutabiri matokeo lakini yanaweza kuonekana hata ndani ya kipindi cha miaka kumi.

Licha ya hilo bwana Lou, alisema kuwa masoko yameathirika kutokana na kujiondoa kwa Uingereza

Vita vyaendelea Sudan Kusini
Mtanzania aajiriwa na klabu ya Dubai