Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama samaki aina ya pweza wakati alipotembelea kiwanda cha samaki cha TANIPESCA eneo la Kilindoni wilayani Mfia Septemba 24, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Bi. Mwanalingwe Shani Juma akiwa na mwanane mchanga, Ngweshani Khatibu wakati alipotembelea wodi ya wazazi katika hospitali ya wilaya ya Mafia Sptemba 24, 2016.