imgs6466Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary wakiingia  kwenye uwanja wa michezo wa Kibiti wilayani Kilwa ambapo Waziri Mkuu alihutubia mkutano wa hadhara, Septemba 26, 2016. Kushoto ni Mkuu wa mkoa wa Pwani Mhandisi Evarest Ndikilo.

imgs6508

imgs6510Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimshukuru Mzee Abadallah Ngwele  baada ya kupokea madawati 10 yaliyotolewa  na wazee wa Kibiti katika mkutano wa hadhara aliouhutubia kwenye uwanja wa michezo wa Kibiti, Septemba 26, 2016.  Kushoto ni mkewe Mary na watatu kulia ni Mkuu wa mkoa wa Pwani, Mhandisi Evarest Ndikilo.

 

imgs6477

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea magodoro 10 kutoka kwa Mkuu wa Chuo cha Mendeleo ya Wananchi cha Kibiti, Bi.  Cecilia Mfuko ukukiwa ni mchango uliotolewa na Chuo hicho kwa Hospitali ya Kibiti. Makabidhiano hayo yalifanyika kwenye mkutano wa hadhara uliohutubiwa na Waziri Mkuu kwenye uwanja wa michezo mjini Kibiti Septemba 26, 2016.
Jaji Mutungi asisitiza Prof. Lipumba bado ni Mwenyekiti wa halali CUF
Video: LHRC yaiomba Serikali kuwachukulia hatua kali Wazazi wanaotelekeza familia