Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amemuapisha Msajili wa Mahakama ya Rufani, Jaji wa Mahakama Kuu, Mwenyekiti pamoja na Wajumbe wa Tume ya Usuluhishi na Uamuzi Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma hii leo Oktoba mosi, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akimuapisha Abubakar Amin Mrisha kuwa Jaji wa Mahakama Kuu katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu ya Chamwino, Dodoma hii leo Oktoba 1, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akimuapisha Sylvester Joseph Kainda kuwa Msajili wa Mahakama ya Rufani Ikulu Chamwino Dodoma..
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akimuapisha Idriss Ramadhan Mavura kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Usuluhishi na Uamuzi katika hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino, Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akimuapisha Suzanne Ndomba Doran kuwa Kamishna wa Tume ya Usuluhishi na Uamuzi katika hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino, Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akimuapisha Junus Purasdus Ndaro kuwa Kamishna wa Tume ya Usuluhishi na Uamuzi katika hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino, Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akimuapisha Agnes Kisaka Meena kuwa Kamishna wa Tume ya Usuluhishi na Uamuzi katika hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino jijini Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akimuapisha Hangi Matekeleza Chang’a kuwa Kamishna wa Tume ya Usuluhishi na Uamuzi katika hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino, Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akimuapisha Rifai Abdallah Mkumba kuwa Kamishna wa Tume ya Usuluhishi na Uamuzi katika hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino, Dodoma hii leo Oktoba1, 2022.
UN yazindua mpango kukomesha Malaria Afrika
TAS yatoa darasa haki za wenye Ualbino