Hatimaye Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Profesa Ndalichako amewafukuza chuo walimu waliohusika na kumpiga mwanafunzi wa kidato cha tatu wa shule ya kutwa Mbeya.

Mpaka sasa Mkuu wa Shule na baadhi ya walimu wamefikishwa katika kituo cha polisi kwa mahojiano kuhusiana na tukio hilo.

Kwa tukio kama hilo nchi za wenzetu huyo mtoto angekuwa bilionea, serikali ingelipa familia ya mtoto mabilioni kwa kuweka walimu hatari karibu na watoto, kwaiyo tukio kama hili si la kuvumiliika ni zaidi ya ukatili.

 

Tandale walaumu jeshi la polisi
Leo ni siku ya kumbu kumbu ya kuzaliwa kwa aliyekuwa Rais wa Tanzania Mh. Jakaya Mrisho Kikwete