Rais John Magufuli amewasili mjini Entebe nchini Uganda leo kwa lengo la kuhudhuria sherehe za kuapishwa kwa Rais Yoweri Museveni zitakazofanyika kesho nchini humo.

2

 

Rais Magufuli ametua katika uwanja wa ndege wa Entebe na kulakiwa na wenyeji wake, tayari kwa kuhudhuria tukio hilo la kihistoria.

Rais Museveni alitangazwa kuwa mshindi katika uchaguzi mkuu uliopita nchini humo na alisubiri kesi za kupinga ushindi wake zimalizike ndipo aweze kuchukua hatua ya kuapishwa. Mahakama Kuu nchini humo ilihalalisha ushindi wa Museveni na kueleza kuwa malalamiko ya mpinzani wake Amama Mbabazi.

 

Mark Clattenburg Akabidhiwa Dakika 90 Za Mchezo Wa Fainali
Thibaut Courtois Aendelea Kutikisa Kibiriti

Comments

comments