Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, hii leo tarehe 02 Machi, 2022 amezungumza na viongozi wa dini mbalimbali nchini.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na viongozi mbalimbali wa Dini

Kikao hicho baina ya Rais na Viongozi wa dini kimefanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam.

Rais Samia akiwa na viongozi wa Dini baada ya mazungumzo yao.

Serikali yajipanga kutokomeza Malaria 2030
Serikali yasema hakuna muda wa ziada fedha za UVIKO-19