Rais Samia Suluhu Hassan amewasili Glasgow nchini Scotland leo tarehe 31 Oktoba 2021 ili kuhudhuria mkutano wa 26 wa Umoja wa Mataifa utakaojadili athari za mabadiliko ya Tabianchi.

Mkutano huo utafunguliwa tarehe 1 Novemba na Rais Samia anatarajiwa kuhutubia tarahe 2 Novemba.

Taarifa ya Ikulu mawasiliano

Habari kubwa kwenye magazeti leo, Novemba 1, 2021
Ulaji wa njegere unavyosaidia kuto zeeka haraka