Serikali imeahidi kununua gari ya kubebea wagojwa kwaajili ya hospitali teule ya Muheza katika mwaka huu wa fedha 2016/17. Hayo yamesemwa mapema leo septemba 9, 2016 na Naibu Waziri Suleiman Jaffo wakati akijibu swali la Mbunge wa viti maalum(CHADEMA), Yosepher Komba ambapo Jaffo pia amesema Serikali itatatua changamoto zote kuhakikisha wananchi wanapata hudumas bora ya afya. Tazama hapa Video

Video: Mbunge Goodluck aitaka Serikali kufanya mpango wa Dharura
Mahakama Kuu yazuia NHC kupiga mnada Mali za Mbowe