Kaimu Katibu wa umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi ( UVCCM ) Shaka Hamdu Shaka amemtembelea Waziri Mkuu Mstaafu, John Malecela nyumbani kwake Dodoma, ambapo wamezungumza mambo mbali mbali.

Waziri Mkuu Mstaafu, John Malecela akizungumza na Kaimu Katibu wa umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi ( UVCCM ) Shaka Hamdu Shaka (kushoto) wakati alipomtembelea, nyumbani kwake mjini Dodoma

Waziri Mkuu Mstaafu, John Malecela akimwonyesha kaimu katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Shaka Hamdu Shaka kinyango chenye uzito wa tani 1 wakati alipomtembelea, nyumbani kwake mjini Dodoma

Waziri Mkuu Mstaafu, John Malecela akimwelezea kaimu katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), Shaka Hamdu Shaka picha iliochorwa na Mwanafinzi wa darasa la saba Mwaka 1982 wakati wa hali ngumu ya uchumi nchini.

Waziri Mkuu Mstaafu, John Malecela akimwelezea kaimu katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Shaka Hamdu Shaka picha iliyochorwa na mjuu wake ikimuonesha yeye na Marehemu Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.

 Picha ya pamoja Waziri Mkuu Mstaafu, John Malecela na Kaimu katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Shaka Hamdu Shaka picha

 kaimu katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Shaka Hamdu Shaka  akimuaga  Waziri Mkuu Mstaafu, John Malecela alipomtembelea nyumbani kwake Mtaa wa Kilimani Mjini Dodoma

LIVE IKULU: Rais Magufuli amwapisha Jaji MKuu, Profesa Ibrahim
Rafael Nadal ang'ara katika michuano ya 'Us Open'

Comments

comments