Mchekeshaji maarufu aliyekuwa akitamba kwenye kipindi cha ‘Vituko Show’ kinahorushwa kupitia kituo cha runinga cha Channel Ten, maarufu kwa jina la Kinyambe amefarikia.

Kinyambe amefariki usiku wa kuamkia leo katika hospitali ya Mkoa ya Mbeya alipokuwa akipatiwa matibabu.

Dar24 inatoa pole kwa ndugu jamaa, marafiki na wadau wote wa tasnia ya uigizaji.

 

Chadema wabeza utumbuaji majipu wa Magufuli, wadai bora Kikwete
Wamuuzi Wa Taifa Stars Vs The Pharaohs Wafahamika

Comments

comments