Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) imekaa na kujadili mambo mbalimbali ikiwa ni pamoja na kuunda kamati mpya na kuzifanyia baadhi mabadiliko.

Katika mabadiliko hayo, aliyekuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi ya TFF, Alloyce Komba, ameula baada ya kuteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Rufani na Nidhamu.

Komba anatuhumiwa kupanga njama za kumuondoa madarakani Mwenyekiti wa Yanga, Yusuf Manji na yeye aliamua kujiondoa ili kupisha uchaguzi.

KAMATI YA NIDHAMU.

 1. TARIMBA ABBAS (MWENYEKITI).
 2. ADVOCATE JEROME MSEMWA (MAKAMU MWENYEKITI).
 3. KASSIM DAU.
 4. NASSORO DUDUMA.
 5. KITWANA MANARA.

KAMATI YA RUFANI YA NIDHAMU.

 1. ADVOCATE ALOYS KOMBA (MWENYEKITI).
 2. ADVOCATE ABDALLAH GONZI
 3. ABDALLA MKUMBURA
 4. DR FRANCIS MICHAEL
 5. ADVOCATE TWAHA MTENGELA

KAMATI YA MAADILI

 1. ADVOCATE WILSON OGUNDE (MWENYEKITI)
 2. ADVOCATE EBEANAZER MSHANA (MAKAMU MWENYEKITI)
 3. Eng  MAHENDE MGAYA
 4. HON SAID MTANDA.
 5. HON GLORIUS LUOGA.

KAMATI YA RUFANI YA MAADILI.

 1. ADVOCATE WALTER CHIPETA (MWENYEKITI).
 2. MAGISTRATE GEORGE GISANGETA (MAKAMU MWENYEKITI).
 3. LILIAN KITOMARI.
 4. HON DR FAUSTINE NDUGULILE.
 5. BAKILI BAKARI ANGA.

KAMATI YA UCHAGUZI.

 1. ADVOCATE REVOCATUS KUULI(MWENYEKITI).
 2. ADVOCATE DOMINA MADELI (MAKAMU MWENYEKITI).
 3. HAMIDU MAHMOUD OMAR.
 4. JEREMIAH JOHN WAMBURA.
 5. JUMA LALIKA.

KAMATI YA RUFANI YA UCHAGUZI.

 1. ADVOCATE JULIUS LUGAZIYA (MWENYEKITI)
 2. ADVOCATE MACHER SUGUTA (MAKAMU MWENYEKITI).
 3. JUMA ABEID KHAMIS.
 4. RASHID DILUNGA.
 5. JOSEPH MAPUNDA.

KAMATI YA KATIBA, SHERIA NA HADHI ZA WACHEZJI.

 1. RICHARD SINAMTWA (MWENYEKITI).
 2. ADVOCATE RAYMOND WAWA (MAKAMU MWENYEKITI)
 3. PASCAL KIHANGA.
 4. BENISTER LUGORA.
 5. DAVID MACHUMU.

KAMATI YA FEDHA NA MIPANGO.

 1. WALLACE KARIA (MWENYEKITI).
 2. OMARI WALII  (MAKAMU MWENYEKITI).
 3. GOODLUCK MOSHI.
 4. ELLIE MBISE.
 5. DEO LUBUVA.

KAMATI YA MASHINDANO.

 1. GEOFREY NYANGE (MWENYEKITI).
 2. RAMADHAN NASSIB (MAKAMU MWENYEKITI)
 3. JAMES MHAGAMA.
 4. ISACK CHANJI
 5. CLEMENCE SANGA.

KAMATI YA UFUNDI.

 1. KIDAO WILFRED (MWENYEKITI).
 2. VEDASTUS RUFANO (MAKAMU MWENYEKITI).
 3. AHMED MGOYI.
 4. DAN KOROSSO.
 5. PELEGRINIUS RUTAHYUGWA.

KAMATI YA MPIRA WA MIGUU WA VIJANA.

 1. AYOUB NYENZI (MWENYEKITI).
 2. KHALID ABDALLAH (MAKAMU MWENYEKITI).
 3. STEVEN NJOWOKA.
 4. MULAMU NGH’AMBI.
 5. STEWERT MASSIMA.

KAMATI YA MPIRA WA WANAWAKE.

 1. AMINA KARUMA. (MWENYEKITI).
 2. ROSE KISIWA (MAKAMU MWENYEKITI).
 3. ZENA CHANDE.
 4. ZAFARANI DAMODER.
 5. BEATRICE MGAYA.
 6. SOFIA TIGALYOMA.
 7. INGRIDY KIMARIO (KATIBU WA KAMATI).

KAMATI YA WAAMUZI.

 1. SALOUM UMANDE (MWENYEKITI).
 2. NASSORO SAID (MAKAMU MWENYEKITI).
 3. CHARLES NDAGALA .
 4. KANALI ISSARO CHACHA.
 5. SOUD ABDI.
 6. REFEREE DESK OFFICER WA TFF (KATIBU)

KAMATI YA HABARI NA MASOKO.

 1. ATHMAN KAMBI (MWENYEKITI).
 2. BLASSY KIONDO (MAKAMU MWENYEKITI).
 3. GRACE HOKA.
 4. AMIR MHANDO.
 5. HAROUB SELEMANI.

KAMATI YA UKAGUZI WA FEDHA.

 1. YAHYA HAMAD (MWENYEKITI).
 2. AUDITOR ABDALLAH MUSSA (MAKAMU MWENYEKITI).
 3. JACKSON SONGORO.
 4. GOLDEN SANGA.
 5. CYPRIAN KWIYAVA.

KAMATI YA TIBA.

 1. DR PAUL MAREALLE (MWENYEKITI).
 2. DR FRED LIMBANGA (MAKAMU MWENYEKITI).
 3. DR MWANANDI MWANKEWA.
 4. DR ELIEZER MDELEMA.
 5. ASHA MECKY SADIK.

KAMATI YA FUTSAL NA BEACH SOCCER.

 1. AHMED IDD MGOYI (MWENYEKITI).
 2. HUSSEIN MWAMBA (MAKAMU MWENYEKITI).
 3. SAMSON KALIRO.
 4. BONIFACE PAWASSA.
 5. APOLLO KIYUNGI.

MFUKO WA MAENDELEO YA MPIRA WA MIGUU

 1. TIDO MHANDO (MWENYEKITI).
 2. CEO WA MFUKO (KATIBU).
 3. BEATRICE SINGANO
 4. SALUM RUPIA
 5. EPHRAIM MAFURU.
 6. TARIMBA ABBAS.
 7. MESHACK BANDAWE.
 8. JOSEPH KAHAMA.

KAMATI YA AJIRA

 1. WALLACE KARIA (MWENYEKITI)
 2. VEDASTUS RUFANO (MAKAMU MWENYEKITI)
 3. SELESTINE MWESIGWA (KATIBU WA KAMATI)
 4. SAID MOHAMED
 5. SALUM UMANDE CHAMA
Mjadala kuhusu wapinzani na Naibu Spika kuunguruma leo Bungeni
Rich Mavoko: Diamond hakuniomba, Sikumuomba kuingia WCB