Bosi mpya madawa ya kulevya atema cheche, Gwajima: Kazi ndiyo imeanza, asimulia alivyochukuliwa vipimo vya damu na mkojo, Jinsi masuala tisa yalivyotikisa Bunge, Wapinzani walamba dume mambo matano… hizo ni moja ya habari zilizopewa uzito katika Magazeti ya Tanzania leo Februari 12, 2017. Ungana na Dar24 Magazeti kila siku asubuhi kufahamu yote yaliyojili kwenye magazeti ya Tanzania, ambapo Chris Kika kwenye video hapa amekusomea habari zote kubwa za leo #USIPITWE

Makonda awatolea nje wabunge kuhusu kuhojiwa
Nchemba: Mikakati ya kuwanasa wahusika dawa za kulevya iko tayari