Chama cha Wananchi CUF kimezidi kuwachanganya wafuasi wa chama hicho mara baada ya leo kutokea sintofahamu katika kesi yao waliyoifungua katika mahakama kuu dhidi ya bodi ya wadhamini inayovutana katika pande zote mbili ya Prof. LIpumba na Maalim Seif.

Aidha, utata huo umetokea mapema hii leo mara baada ya kuahirishwa kwa kesi hiyo nakupangiwa siku ya jumatatu hali ambayo ilizua taharuki mahakamani hapo.

Hata hivyo, pane zote mbili zilituhumiana kuhujumiana katika kesi hiyo huku lawama zikielekezwa kwenye mahaka

Magazeti ya Tanzania leo Julai 7, 2017
Kambi iliyokuwa ikihifadhi na kutumikisha watoto yateketezwa kwa moto Manyara