Msanii nyota wa muziki wa Bongofleva, Diamond Platnumz ameachia wimbo wake mpya ‘Salome’ akiwa amemshirikisha Rayvanny ambapo wimbo huo ni ‘sampo’ ya wimbo wa Saida Karoli unaoitwa Maria Salome. Tayari nimekuwekea hapa chini video yao. Ukimaliza kuitazama acha comment yako kumwambia Diamond ametisha kwa asilimia ngapi.

 

Kama uliikosa hii Video: Niyonzima msanii anayeimba Taarabu Canada asimulia aliyopitia

ISIS yabeba tukio la kuchomwa visu watu 9 Marekani, Mabomu yatikisa
Mourinho: Tunaadhibiwa Kwa Makosa Ya Wengine