Mtanzania, Adam ameonyesha uwezo wake na ubunifu baada ya kutengeneza Helikopta, Adam ameunda Helikopta hiyo inayotumia injini ya gari katika gereji yake ya ‘Adam Auto Garage’ ya mjini Tunduma mkoani Songwe, ambapo tayari Helikopta hiyo imezinduliwa katika mbio za Mwenge. Pia mamlaka husika zinaombwa kwenda na kuangalia namna ya kutumia kipaji hiki cha aina yake kwa maendeleo ya Taifa.79de9bf8-0571-4b5f-9b46-73483b17cbd7

Pichani, Adam akipongezwa kwa ubunifu wake. Bofya hapa chini kutazama video ya Helikopta hiyo iliyozinduliwa

Video: Ronaldo alivyoiua Wales, Bale afunguka baada ya kipigo
Video: Blue afunguka alivyosaidia ‘mtoko’ wa Diamond, uhusiano wa mapenzi na Wema, mafanikio, ujana…