May 24 2016 Wizara ya Malisili na Utalii iliwasilisha bungeni makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha 2016/2017. Bajeti iliyosomwa na Waziri Jumanne Maghembe.

Wabunge mbalimbali walipata nafasi ya kuchangia bajeti hiyo huku Mbunge wa Bukombe Doto Biteko akichangia kwa hisia kali kuhusu kitendo cha matukio ya baadhi ya Askari Polisi kuua mifugo.

Rafael Benitez Akubali Kubaki Newcastle United
TASWA Wakutana Na Kujadili Mambo Matatu

Comments

comments