Kigogo aliyekwenda na Spika bandarini afukuzwa, Bunge lashtuka, kuunda kamati kupitia upya sheria na mikataba, Mabadiliko CCM yamuibua Polepole, avunja ukimya watengeneza makundi, watoa rushwa…, hizo ni moja ya habari zilizopewa uzito katika Magazeti ya Tanzania leo Machi 27, 2017. Ungana na Dar24 Magazeti kila siku asubuhi kufahamu yote yaliyojili kwenye magazeti ya Tanzania, ambapo Nuru Mbilinyi kwenye video hapa amekusomea habari zote kubwa za leo #USIPITWE

Bulgaria Yamponza Danny Blind
Hicham El Amrani Ajisalimisha Mapema