Lissu apiga hodi jela, atoa neno, Sirro ataja sababu kumkamata, Bulembo afichua sh400 mil. alizopewa na Lowassa, asema hakuwahi kumsaidia katika mchakato wa kupata mgombea urais wa CCM, DCI aita Polisi wa Kimataifa msako msaidizi wa Mbowe…, hizo ni moja ya habari zilizopewa uzito katika Magazeti ya Tanzania leo Machi 17, 2017. Ungana na Dar24 Magazeti kila siku asubuhi kufahamu yote yaliyojili kwenye magazeti ya Tanzania, ambapo Nuru Mbilinyi kwenye video hapa amekusomea habari zote kubwa za leo #USIPITWE

FIFA Yaifungia Mali Michuano Ya Kimataifa
Mwalimu atiwa mbaroni kwa kumwadhibu mwanafunzi