Timu ya taifa ya Ureno imepokelewa kwa shangwe kubwa na mamia ya watu ilipotua mjini Lisbon ikitokea Ufaransa zilipofanyika fainali za Euro 2016. Mashabiki pamoja na viongozi wa serikali walijitokeza kuwalaki wachezaji pamoja na maafisa wengine wa soka nchini humo.

Jeshi Kuanza Mafunzo ya Kupambana na Ugaidi
Arsene Wenger Kutumia Njia Mbadala Kumpata Higuain