Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda amepokea msaada wa jumla ya shilingi milioni 31.7 za madawati kutoka Taasisi za TFDA, CBE na African Relief Organisation.

Akipokea msaada huo, Makonda amezishukuru Taasisi hizo huku akizitaka taasisi nyingine za Serikali na binafsi kujitolea kwaajili ya kutoa michango yao kuunga mkono Serikali. Bofya hapa kutazama video

Video: Makonda aweka wazi jambo hili, Atoa maelekezo kwa Wakuu wa Wilaya
Tfda Yatoa Hundi Ya Milioni 17.7 Kwaajili Ya Madawati