Yapo mengi mazuri na mabaya unayoyafahamu kuhusu tabia za mapacha kutokana na kuishi nao kwa ukaribu.

Basi leo nimeandaa machache kuhusu tabia za mapacha ambazo watu wengi hawazifahamu kwani inafahamika kuwa mapacha ni watu wanaofanana kwa kiasi kikubwa japo kuwa tafiti zilizofanywa zimebainisha kuwa yapo mengi pia ambayo mapacha hutofautiana.

Na zipo baadhi ya tabia za kustaajabisha na kufurahisha kuhusu mapacha, Tazama hapa chini kujua zaidi.

Viongozi wa upinzani nchini Uganda watangaza kumng'oa Museveni
Kilimanjaro yazizima, Waziri aliyefukuzwa na JPM ataja mambo 10 'yanayomtesa'

Comments

comments