Katika harakati za Dar24 kuhakikisha tunakupatia Taarifa Bila Mipaka, sasa tumelenga katika ‘JE, UTARATIBU NI UPI?’ ili kukupatia elimu ya mambo mbali mbali yenye tija katika jamii ambayo kwa namna moja au nyingine wananchi wote tutaweza kuyafahamu na kuweza kufuata taratibu hizo ili kufanikisha malengo yetu kwa urahisi zaidi. Tazama video ili kufahamu utaratimu mzima wa kujiunga na hufuma za BIMA

Watanzania kuadhimisha miaka 55 ya uhuru
Mjema akutana na wachina, lengo ni kuiweka safi manispaa ya ilala