Maoni yameendelea kutolewa Bungeni kuhusu bajeti iliyoombwa na Wizara ya Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi kwa mwaka wa fedha 21016/2017.

Mbunge wa Babati Mjini Pauline Gekul amepata nafasi ya kusimama na kutoa dukuduku lake kuhusu Wizara husika huku akimtaka Waziri kutoa maelezo yakina ya bilioni 8 alizotenga kujenga ofisi.

 

KAMA ILIKUPITA HII YA ZITTO KABWE

Waganda Kuchezesha Stars, Harambee, Azam Kurusha ‘Live’
Unajua kwanini mapenzi ya mbali hayadumu? Hizi hapa sababu 5