Rich Mavoko ameachia video yake mpya ya ‘Ibaki Story’ ambayo ni ya kwanza akiwa chini la label ya ‘WCB’ inayomilikiwa na Diamond Platinumz.

Video imefanyika Johannesburg nchini Afrika Kusini na muongozaji anayefahamika kwa jina la Niki.

Golden State Warriors Waanza Vyema Fainali Ya NBA
Prof Tibaijuka: Aliyenipa fedha za Escrow hakuguswa