Kufuatia taarifa za kusitisha uzalishaji katika kiwanda cha Dangote kilichopo Mtwara na watu mbalimbali, wachumi, wanasiasa kutoa maoni tofautiofauti kuhusu tukio hilo, Waziri wa Viwanda, biashara na uwekezaji, Charles Mwijage amezungumzia sakata hilo ikiwa ni pamoja na madai kuwa makaa ya mawe ya Tanzania kukosa ubora kama wanayopata nje ya nchi hivyo hali hiyo kupelekea wenye viwanda kufunga viwanda vyao.

“Ngoma hii inampiga bede mwenyewe wasiniingie….., nikiri labda nilizembea simpi mtu nafasi nalishughulikia mwenyewe, hakuna tatizo lamsingi…” – Waziri Mwijage

 

Azam FC Kusaka Vijana U-17 Kigoma J’mosi Hii
Wizara ya elimu yatoa ufafanuzi kufungia kozi za kujiongzea uwezo