Siri gomvi la DPP, AG hadharani, ni mambo mazito…, Kauli ya JPM mjadala mzito, Makonda ataja vinara, Wema, TID wahojiwa Polisi, huku Vanessa, Tunda wakiunganishwa… hizo ni moja ya habari zilizopewa uzito katika Magazeti ya Tanzania leo Februari 4, 2017. Ungana na Dar24 Magazeti kila siku asubuhi kufahamu yote yaliyojili kwenye magazeti ya Tanzania, ambapo Chris Kika kwenye video hapa amekusomea habari zote kubwa za leo #USIPITWE

Wakuu wa shule na wakurugenzi wawekwa kitimoto Dar
Serengeti Boys Yafuzu Kucheza Fainali za U -17 kwa bao la mkono