Siri ya ushindi wa Lissu TLS, Kingunge awataja vigogo watatu wasaliti CCM, Wananchi wamuua Ofisa wa Polisi Moshi, Mitazamo minne juu ya vyeti vya Makonda…, hizo ni moja ya habari zilizopewa uzito katika Magazeti ya Tanzania leo Machi 19, 2017. Ungana na Dar24 Magazeti kila siku asubuhi kufahamu yote yaliyojili kwenye magazeti ya Tanzania, ambapo Chris Kika kwenye video hapa amekusomea habari zote kubwa za leo #USIPITWE

Mzimu wa CCM wazidi kumtesa Kingunge
Meya wa Jiji la Dar kuchangia msaada wa vifaa vya ujenzi