IGP Sirro: Sitaki kuzozana na familia ya Lissu , asema wanaendelea na uchunguzi kubaini waharifu, Angellah Kairuki atikisa kila kona, awakuna wengi, atajwa kuwa mchapakazi, Wasomi, wanasiasa wampongeza Rais Magufuli, Aliyeondolewa Bungeni amtetea Rais Magufuli…, Hizo ni moja ya habari kubwa zilizopewa kipaumbele katika magazeti ya Tanzania leo Oktoba 9, 2017. Tazama video


Video: Wema Sepetu, Hamisa Mobetto, Kajala waanikwa tabia zao, P The MC afunguka mwanzo mwisho

Nelly aeleza alivyojipanga kujibu madai ya ubakaji bila 'kinga'
Nape awataka vijana kuchukua maamuzi magumu