Spika Ndugai amkacha Makonda, Janga jingine latua kwa Manji, Idara ya uhamiaji yamtaka aripoti ofisini kwao kwa mahojiano…, Sianga abadili gia ya Makonda, asema hatotaja majina hadharani bila ushahidi, Wabunge wamsubiria Makonda Bungeni… hizo ni moja ya habari zilizopewa uzito katika Magazeti ya Tanzania leo Februari 15, 2017. Ungana na Dar24 Magazeti kila siku asubuhi kufahamu yote yaliyojili kwenye magazeti ya Tanzania, ambapo Nuru Mbilinyi kwenye video hapa amekusomea habari zote kubwa za leo #USIPITWE

Wakuvanga ageukia masuala ya kilimo
Magazeti ya Tanzania leo Februari 15, 2017