Mbunge wa Singida Mashariki (CHADEMA), Tundu Lissu amesimama mahakamani na kusomewa shitaka lake la kutoa maneno ya uchochezi na Mbunge Lissu amekana shtaka hilo na ameachiwa kwa dhamana na hatotakiwa kusafiri nje ya nchi bila kibali cha mahakama.

Inadaiwa maneno hayo ya uchochezi aliyotoa Lissu nje ya mahakama ya Kisutu ni kumuita Rais ‘dikteta uchwara’. Baada ya Lissu kutoka Mahakamani hapo kwa dhamani aliyaongea haya.

Diego Costa Aomba Kuondoka Stamford Bridge
Joseph Omog Kutangazwa Rasmi Leo