Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi amesema kutokana na watu wengi kulalamikia huduma za Madalali ameweka mikakatia ambayo wataifuata ili kuepusha kero mbali mbali kwa wananchi juu ya utendaji wao unaowakandamiza wanyonge.

Lukuvi amesema hayo mapema leo Oktoba 5, 2016 ambapo amewataka Madalali kutoa fursa kwa wenyemali kununua mali zao badala ya kutengeneza dili kwababu ya unyonge wa mwenye mali baada ya kushindwa kulipa deni kwa wakati, Pia ametoa maelekezo kwa kile kinachotakiwa kifanyike  ili kuondoa matatizo yanayojitokeza. Bofya hapa kutazama video

Waziri Mkuu atembelea gereza Isanga Dodoma
Video: Majaliwa aibana Magereza Dodoma, Mkuu wa mkoa apewa masaa kuchunguza