Zitto asakwa, adaiwa kufanya uchochezi dhidi ya Rais kwa wananchi, CCM yaipiga bao Ukawa, Jecha avunja ukimya… hizo ni moja ya habari zilizopewa uzito katika Magazeti ya Tanzania leo Januari 23, 2017, Ungana na Dar24 Magazeti kila siku asubuhi kufahamu yote yaliyojili kwenye magazeti ya Tanzania, ambapo Nuru Mbilinyi kwenye video hapa amekusomea habari zote kubwa za leo #USIPITWE

Antonio Conte Atoa Ya Moyoni
Jecha avunja ukimya,atoboa siri kufuta matokeo ya uchaguzi Zanzibar