Wizara ya Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi imewasilisha maombi yake ya fedha kwa mwaka wa 2016/2017

Kati ya wabunge waliopata nafasi ya kuchangia ni Mbunge wa Kigoma Mjini Zitto Kabwe ambaye ameinyooshea kidole wizara ya elimu huku akidai ni aibu kwa nchi kama Tanzania ambayo imekuwa ikisuasua kwenye elimu kwani ni kilio cha muda mrefu

Hii hapa Video nimekubutulia jirani yako, Tazama

Video: 'Tunawacheza Watanzania Shere' - Mbunge Mbaruku Bakari
Video: 'FOLENI SASA BAASI' - M-Lipa

Comments

comments