Wizara ya Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi imewasilisha maombi yake ya fedha kwa mwaka wa 2016/2017
Kati ya wabunge waliopata nafasi ya kuchangia ni Mbunge wa Kigoma Mjini Zitto Kabwe ambaye ameinyooshea kidole wizara ya elimu huku akidai ni aibu kwa nchi kama Tanzania ambayo imekuwa ikisuasua kwenye elimu kwani ni kilio cha muda mrefu
Hii hapa Video nimekubutulia jirani yako, Tazama