Wakimataifa, Young Africans, leo wamerejea kutoka mjini Alexandria, Misri baada ya kumaliza kilichowapeleka kwa majonzi baada ya kutolewa kwenye mashindano ya Kombe la klabu Bingwa barani Afrika na wenyeji Al Ahly.

Timu hiyo imepata mapokezi kutoka kwa mashabiki wao uwanjani hapo walionesha mbwembwe zilizowafariji wachezaji na baadhi ya maafisa wa timu hiyo.

Aprili 20, Yanga ilichezea kipigo cha 2-1 kutoka kwa Al Ahly licha ya kuonesha mchezo mzuri uliowavutia wengi.

Ukawa wasusia Bunge, washindilia misumari mitatu
WAZIRI MKUU: TATIZO LA AJIRA KWA VIJANA LAPUNGUA